09 June 2022 Systems
Richard Nyeimar

JIFUNZE KUTENGENEZA WEBSITE BILA CODING

JIFUNZE KUTENGENEZA WEBSITE NZURI BILA KUFANYA CODING.

Mafunzo haya ni mahususi kwa watu

◾️Wafanyabiashara wanaohitaji websites lakini hawana pesa za kulipia gharama za utengenezaji wa website za biashara zao.

◾️Maprogrammer au developers wanaohitaji kujua njia za kisasa ambazo zitakamilisha kazi za wateja wao kwa muda mfupi na ubora unaostahili.

◾️Pia kama unataka kuanzisha biashara ya kuwatengenezea watu website nzuri na za kisasa

Hapo mwanzo ilikuwa ngumu kwa mtu asiyemtaalam wa komputa au asiyejua lugha za kitalarakilishi kuweza kutengeneza website kwaajili ya mambo ya kibiashara au binafsi.Lakini sasa inawezekana kwa uwezo wa technolojia mpya.

Wataalamu wengi wa computa huwa wanatumia muda mrefu kukamilisha kazi zao hii ni kutokana na kutumia technologia duni.Napenda kuwawaribisha wote katika haya mafunzo yatakayo fanyika mtandaoni kupitia kimbweta.com.

Gharama za mafunzo ni Tsh 50,000/=

Baada ya mafunzo haya utakuwa professional website developer.

Wasiliana nasi kwa namba:0789937653,richard@kimbweta.com

Bonyeza link hii kupata utangulizi wa kozi:

https://kimbweta.com/product/123483

May be an image of text that says 'KIMBWETA JIFUNZE KUTENGENEZA WEBSITE BILA KUFANYA CODING W 오 MTANDAONI 15/6/2022 22/6/2022 GHARAMA: TSH 50,000/= UTAPATA VIDEO ZA MASOMO MUDA WOWOTE. TEMPLATE ZA KULIPIA, BURE MAZAOEZI KWA VITENDO COURSE OUTLINE EXPERIENCE ABOUT SERVICE INTRODUCTION TO WORDPRESS SEARCH WORDPRESS INSTALLATION WORDPRESS FILE STRUCTURE WORDPRESS PLUGINS THEMES TEMPLATES CUSTOMIZATION WORDPRESS ERRORS HANDLING LEARN HOW το BUILD PROFESSIONAL WEBSITES WITHOUT CODING SAMPLE WEBSITE PRACTICALS MORE ETSTARTED CTUS OW KIMBWETA.CO 14JAMHURISTREET.DSM 0789937653'