JIFUNZE KUTENGENEZA WEBSITE BILA CODING
JIFUNZE KUTENGENEZA WEBSITE NZURI BILA KUFANYA CODING. Mafunzo haya ni mahususi kwa watu Wafanyabiashara wanaohitaji websites lakini hawana pesa za kulipia gharama za utengenezaji wa website za biashara zao. Maprogrammer au developers wan...