Namna ya kutengeneza keki

(0 Votes)
Social & Art
1 hour 35 min
25 May 2022
360 MB
Questions & Answers is available
Tsh 100000
Pay
Karibu katika darasa la utengenezaji keki,katika darasa hili tutajifunza kuanzia hatua ya kwanza hadi ya mwisho katika utengenezaji wa keki za aina tofauti tofauti,ikiwemo vifaa,urembaji na kanuni mbali mbali za utengenezaji wa keki za vanilla,chocolate,caramel na red velvet


KATIKA DARASA HILI UTAJIFUNZA

  • Kanuni za uokaji wa keki
  • Kuandaa buttercream isiyo na sukari nyingi
  • Kupamba keki kwa buttercream na maua mbalimbali
  • Kutengeneza foundant
  • Kanuni za upambaji keki za chocolate
  • Kutrim na kufunika keki kwa foundant
  • Jinsi ya kutumia stencil,moulds na impression mats

Topic Date/Time Duration Status
Please login to your account to leave comment.
Course support is visible only for students.