Katika darasa hili utajifunza namna ya kuzungumza kiingereza kama mzawa.Utajifunza kupitia video zenye maelekezo mbalimbali pamoja na video za moja kwa moja ambazo tutakuwa tunafanya mazoezi ya kuongea kupitia mtandao,kama utapenda kuja ofisini kwetu unakaribishwa kwa mafunzo ya ana kwa ana.
Kimbweta is an online education marketplace where students can learn from their peers/experts who are the best in topics through notes ,video tutorials video tutorials, questions & answers together with private tutoring. Instructors can sell their skills & material.