Mafunzo haya ni mahususi hasa kwa watu wanaotaka kutengeneza website za biashara zao ili ziweze kukua na kuwafikia wateja wengi zaidi kwani biashara sikuizi bila kuwepo mtandaoni inakuwa kipengele katika kufanya biashara ikue au ijulikane kwa watu wengi.
Mfundishaji ni mimi RICHARD NYEMA,nimekuwa wordpress developer kwa miaka saba na nime kwisha tengeneza website zaidi ya 10 mifano ya website nilizokwisha tengeneza ni
https://www.uhurumedia.co.tz,https://malembofarm.com,https://masakaschools.sc.tz n.k
katika mafunzo haya tutajifunza
1.INTRODUCTION TO WORDPRESS
2.WORDPRESS INSTALLATION
3.WORDPRESS FILE STRUCTURE
4.WORDPRESS THEMES AND PLUGINS
5.TEMPLATES CUSTOMIZATIONS
6.BUILDING A SAMPLE WEBSITE
7.PRACTICALS
Topic | Date/Time | Duration | Status |
---|