Tengeneza website bila kujua coding

(0 Votes)
Systems
08 June 2022
0 MB
Questions & Answers is available
Tsh 50000
Pay
Jifunze technologia ya kisasa ya kukuwezesha wewe kutengeneza website kwaajili ya biashara yako bila kuwa mtaalamu wa komputa.Hapo mwanzo ilikuwa ngumu sana kwa mtu asiye na ujuzi wa kuandika lugha za komputa kuweza kutengeneza website yake yeye binafsi,lakini kutokana na ukuaji wa kitechnologia SASA inawezekana kutengeneza website bila kuwa na ujuzi huo.


Mafunzo haya ni mahususi hasa kwa watu wanaotaka kutengeneza website za biashara zao ili ziweze kukua na kuwafikia wateja wengi zaidi kwani biashara sikuizi bila kuwepo mtandaoni inakuwa kipengele katika kufanya biashara ikue au ijulikane kwa watu wengi.

Mfundishaji ni mimi RICHARD NYEMA,nimekuwa wordpress developer kwa miaka saba na nime kwisha tengeneza website zaidi ya 10 mifano ya website nilizokwisha tengeneza ni

https://www.uhurumedia.co.tz,https://malembofarm.com,https://masakaschools.sc.tz n.k

katika mafunzo haya tutajifunza 

1.INTRODUCTION TO WORDPRESS

2.WORDPRESS INSTALLATION

3.WORDPRESS FILE STRUCTURE

4.WORDPRESS THEMES AND PLUGINS

5.TEMPLATES CUSTOMIZATIONS

6.BUILDING A SAMPLE WEBSITE 

7.PRACTICALS

Topic Date/Time Duration Status
Please login to your account to leave comment.
Course support is visible only for students.