Karibu katika kozi hii utajifunza namna ya kuweza kuuza zaidi katika biashara ili uweze kukuza biashara yako pamoja.Kozi hii ni muunganiko wa mafunzo ambayo yanatolewa na Joel Nanauka kutoka Africa success Academy.
Kimbweta is an online education marketplace where students can learn from their peers/experts who are the best in topics through notes ,video tutorials video tutorials, questions & answers together with private tutoring. Instructors can sell their skills & material.