Mimi ni mtaalam wa biashara ya mtandaoni naagiza na kuuza bidhaa kutoka china kupitia mtandao nilianza biashara yangu nikiwa chuoni.Nimeuza zaidi ya bidhaa 1000 hadi sasa.Napenda kuwaelekeza wanachuo jinsi ya kufanya biashara hii,ili kuwawezesha kujiandaa na ajira au kipato.
Business man